Mambo Yanayotuhusu
"MAMBO YANAYOTUHUSU" inazungumzia maeneo matatu muhimu katika maisha ya mkristo ambayo yatupasa kuyajua. Nayo ni maombi, utoaji pamoja ma ibada zetu. Askofu Nungwana alikuwa na uzito moyoni mwake wa kuandika kitabu hiki na kuliachia kanisa akijua muda wake, pamoja na kazi yake hapa duniani imefikia kikomo. Hiki ni moja ya kitabu chake cha mwisho.
