Tathmini Kuhusu Mauti

2 Tim 4:6-8 Sikia mstari wa sita. Assemavyo kwa ujasiri mkubwa akisema alivyokuwa tayari kumiminwa kama dhabihu, yaani kukutana na mauti. Kiimani Paulo alitamka hivyo maana alikuwa ameweka mambo yake yote yahusuyo uhusiano wake na Mungu sawa. Hatua hiyo ndiyo iliyomsukuma kuwa tayari kukutana na mauti bila woga.

Continue reading