Leo Ninaleta Kwako Neno Sanjari na Maelekezo Machache Kwetu Kanisa[cite: 19] KUISHI MAISHA YA USHINDI 2 Tim 3:1-15 “Kwa matunda yake mti hutambulikana.” β Mathayo 12:33 (AICT Makongoro – 18/01/2009) Kwa tabia za wanadamu na mwenendo wa dunia hii ilivyo sasa, tutambue kuwa kweli hivi sasa tu katika
Category: General
Tumepewa Uwezo Juu ya Kuyakabili Majaribu
Mwandishi wa kitabu cha Yakobo ametajwa wazi wazi kuwa ni Yakobo aliyekuwa nduguye Yesu (mst. 1:1). Na waandikiwa wanatajwa kuwa zile kabila 12 za Waisrael watu waliokuwa wametawanyika miongoni mwa mataifa mengine kutokana na majaribu mbali mbali (mst. 1:2). Hii ndiyo maana Yakobo anawaita waandikiwa hawa “ndugu zangu”
The Gospel Message
The Bible describes God in heaven as holy. Holy just means perfect. Now it’s really important to understand that God can’t let anything imperfect into heaven (Matt 7:21). Otherwise it wonβt just be Heaven. The Bible also says that all of us have a body and a soul
